Qul 'In Kuntum Tuĥibbūna Allāha Fa Attabi`ūnī Yuĥbibkum Allāhu Wa Yaghfir Lakum Dhunūbakum Wa Allāhu Ghafūrun Raĥīmun ('āli `Imrān: 31). |
31. Sema: Ikiwa nyinyi mnampenda Mwenyezi Mungu basi nifuateni mimi, Mwenyezi Mungu atakupendeni na atakufutieni madhambi yenu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kufuta madhambi na Mwenye kurehemu. |