'Alam Taraá 'Ilaá Al-Ladhīna 'Ūtū Naşībāan Mina Al-Kitābi Yud`awna 'Ilaá Kitābi Allāhi Liyaĥkuma Baynahum Thumma Yatawallaá Farīqun Minhum Wa Hum Mu`riđūna ('āli `Imrān: 23). |
23. Huwaoni wale walio pewa sehemu ya Kitabu? Wanaitwa kukiendea Kitabu cha Mwenyezi Mungu ili kiwahukumu baina yao; kisha baadhi yao wanageuka wanakikataa. |