Fa'in Ĥājjūka Faqul 'Aslamtu Wajhī Lillāhi Wa Man Attaba`anī Wa Qul Lilladhīna 'Ūtū Al-Kitāba Wa Al-'Ummīyīna 'A'aslamtum Fa'in 'Aslamū Faqad Ahtadaw Wa 'In Tawallaw Fa'innamā `Alayka Al-Balāghu Wa Allāhu Başīrun Bil-`Ibādi ('āli `Imrān: 20). |
20. Na pindi wakikuhoji, basi sema: Mimi nimeusalimisha uso wangu kumwelekea Mwenyezi Mungu, na kadhaalika walio nifuata. Na waambie walio pewa Kitabu na wasio na kisomo: Je! Mmesilimu? Wakisilimu basi wameongoka. Na wakikengeuka basi juu yako ni kufikisha ujumbe tu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaona waja wake. |