Kada'bi 'Āli Fir`awna Wa Al-Ladhīna Min Qablihim Kadhdhabū Bi'āyātinā Fa'akhadhahum Allāhu Bidhunūbihim Wa Allāhu Shadīdu Al-`Iqābi ('āli `Imrān: 11). |
11. - Kama yaliyo wapata watu wa Firauni na wale walio kuwa kabla yao. Walikanusha Ishara zetu, basi Mwenyezi Mungu aliwashika kwa madhambi yao; na Mwenyezi Mungu ni Mkali wa kuadhibu. |