Lā Yukallifu Allāhu Nafsāan 'Illā Wus`ahā Lahā Mā Kasabat Wa `Alayhā Mā Aktasabat Rabbanā Lā Tu'uākhidhnā 'In Nasīnā 'Aw 'Akhţa'nā Rabbanā Wa Lā Taĥmil `Alaynā 'Işrāan Kamā Ĥamaltahu `Alaá Al-Ladhīna Min Qablinā Rabbanā Wa Lā Tuĥammilnā Mā Lā Ţāqata Lanā Bihi Wa A`fu `Annā Wa Aghfir Lanā Wa Arĥamnā 'Anta Mawlānā Fānşurnā `Alaá Al-Qawmi Al-Kāfirīna (Al-Baqarah: 286).

Next Sūrah >>    Recite again    
286. Mwenyezi Mungu haikalifishi nafsi yoyote ila kwa kadiri ya iwezavyho. Faida ya iliyo yachuma ni yake, na khasara ya iliyo yachuma ni juu yake pia. (Ombeni:)Mola wetu Mlezi! Usituchukulie tukisahau au tukikosea. Mola wetu Mlezi! Usitubebeshe mzigo kama ulio wabebesha wale walio kuwa kabla yetu. Mola wetu Mlezi Usitutwike tusiyo yaweza, na utusamehe, na utughufirie, na uturehemu. Wewe ndiye Mlinzi wetu. Basi tupe ushindi tuwashinde kaumu ya makafiri. *