Wa 'In Kāna Dhū `Usratin Fanažiratun 'Ilaá Maysaratin Wa 'An Taşaddaqū Khayrun Lakum 'In Kuntum Ta`lamūna (Al-Baqarah: 280). |
| 280. Na akiwa (mdaiwa) ana shida, basi (mdai) angoje mpaka afarijike. Na mkiifanya deni kuwa ni sadaka, basi ni bora kwenu, ikiwa mnajua. |