'In Tubdū Aş-Şadaqāti Fani`immā Hiya Wa 'In Tukhfūhā Wa Tu'utūhā Al-Fuqarā'a Fahuwa Khayrun Lakum Wa Yukaffiru `Ankum Min Sayyi'ātikum Wa Allāhu Bimā Ta`malūna Khabīrun (Al-Baqarah: 271). |
271. Mkizidhihirisha sadaka ni vizuri; na mkizificha mkawapa mafakiri kwa siri basi hivyo ni kheri kwenu, na yatakuondoleeni baadhi ya maovu yenu. Na Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda. |