Ash-Shayţānu Ya`idukum Al-Faqra Wa Ya'murukum Bil-Faĥshā'i Wa Allāhu Ya`idukum Maghfiratan Minhu Wa Fađlāan Wa Allāhu Wāsi`un `Alīmun (Al-Baqarah: 268). |
268. Shet'ani anakutieni khofu ya ufakiri na anakuamrisheni mambo machafu. Na Mwenyezi Mungu anakuahidini msamaha na fadhila zitokazo kwake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye wasaa, Mwenye kujua. |