Fa'in Khiftum Farijālāan 'Aw Rukbānāan Fa'idhā 'Amintum Fādhkurū Allāha Kamā `Allamakum Mā Lam Takūnū Ta`lamūna (Al-Baqarah: 239). |
239. Ikiwa mnakhofu (Salini) na hali mnakwenda kwa miguu au mmepanda. Na mtakapo kuwa katika amani, basi mkumbukeni Mwenyezi Mungu kama alivyo kufunzeni yale mliyo kuwa hamyajui. |