Kutiba `Alaykum Al-Qitālu Wa Huwa Kurhun Lakum Wa `Asá 'An Takrahū Shay'āan Wa Huwa Khayrun Lakum Wa `Asaá 'An Tuĥibbū Shay'āan Wa Huwa Sharrun Lakum Wa Allāhu Ya`lamu Wa 'Antum Lā Ta`lamūna (Al-Baqarah: 216). |
216. Mmeandikiwa kupigana vita, navyo vinachusha kwenu. Lakini huenda mkachukia kitu nacho ni kheri kwenu. Na huenda mkapenda kitu nacho ni shari kwenu. Na Mwenyezi Mungu anajua na nyinyi hamjui. |