Wa Adhkurū Allāha Fī 'Ayyāmin Ma`dūdātin Faman Ta`ajjala Fī Yawmayni Falā 'Ithma `Alayhi Wa Man Ta'akhkhara Falā 'Ithma `Alayhi Liman Attaqaá Wa Attaqū Allāha Wa A`lamū 'Annakum 'Ilayhi Tuĥsharūna (Al-Baqarah: 203). |
203. Na mtajeni Mwenyezi Mungu katika zile siku zinazo hisabiwa. Lakini mwenye kufanya haraka katika siku mbili (akarejea) si dhambi juu yake; na mwenye kukawia pia si dhambi juu yake, kwa mwenye kumchamngu. Na mcheni Mwenyezi Mungu, na jueni kwamba nyinyi mtakusanywa kwake. |