Shahru Ramađāna Al-Ladhī 'Unzila Fīhi Al-Qur'ānu Hudan Lilnnāsi Wa Bayyinātin Mina Al-Hudaá Wa Al-Furqāni Faman Shahida Minkum Ash-Shahra Falyaşumhu Wa Man Kāna Marīđāan 'Aw `Alaá Safarin Fa`iddatun Min 'Ayyāmin 'Ukhara Yurīdu Allāhu Bikum Al-Yusra Wa Lā Yurīdu Bikum Al-`Usra Wa Litukmilū Al-`Iddata Wa Litukabbirū Allāha `Alaá Mā Hadākum Wa La`allakum Tashkurūna (Al-Baqarah: 185). |
185. Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi. Basi ataye kuwa mjini katika mwezi huu naafunge. Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini, basi atimize hisabu katika siku nyengine. Mwenyezi Mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hisabu, na mumtukuze Mwenyezi Mungu kwa kuwa amekuongoeni ili mpate kushukuru. |