Faman Baddalahu Ba`damā Sami`ahu Fa'innamā 'Ithmuhu `Alaá Al-Ladhīna Yubaddilūnahu 'Inna Allāha Samī`un `Alīmun (Al-Baqarah: 181). |
181. Na atakaye ubadilisha wasia baada ya kuusikia, basi dhambi yake ni juu ya wale watakao ubadilisha; hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia Mwenye kujua. |