'Inna Al-Ladhīna Yaktumūna Mā 'Anzalnā Mina Al-Bayyināti Wa Al-Hudaá Min Ba`di Mā Bayyannāhu Lilnnāsi Fī Al-Kitābi 'Ūlā'ika Yal`anuhum Allāhu Wa Yal`anuhum Al-Lā`inūna (Al-Baqarah: 159). |
159. Hakika wale wanao ficha tuliyo yateremsha -- nazo ni hoja zilizo wazi na uwongofu baada ya Sisi kuzibainisha kwa watu Kitabuni -- hao anawalaani Mwenyezi Mungu, na wanawalaani kila wenye kulaani. |