Sayaqūlu As-Sufahā'u Mina An-Nāsi Mā Wa Llāhum `An Qiblatihim Allatī Kānū `Alayhā Qul Lillāhi Al-Mashriqu Wa Al-Maghribu Yahdī Man Yashā'u 'Ilaá Şirāţin Mustaqīmin (Al-Baqarah: 142). |
142. WAPUMBAVU miongoni mwa watu watasema: Nini kilicho wageuza kutoka kibla chao walicho kuwa wakikielekea? Sema: Mashariki na Magharibi ni ya Mwenyezi Mungu; Yeye humwongoa amtakaye kwenye njia iliyo nyooka. |