Fa'in 'Āmanū Bimithli Mā 'Āmantum Bihi Faqad Ahtadaw Wa 'In Tawallaw Fa'innamā Hum Fī Shiqāqin Fasayakfīkahum Allāhu Wa Huwa As-Samī`u Al-`Alīmu (Al-Baqarah: 137). |
| 137. Basi wakiamini kama mnavyo amini nyinyi, itakuwa kweli wameongoka. Na wakikengeuka basi wao wamo katika upinzani tu. Na Mwenyezi Mungu atakutosheni kukukingeni na shari yao, na Yeye ndiye Msikizi, Mjuzi. |