Wa Man Yarghabu `An Millati 'Ibrāhīma 'Illā Man Safiha Nafsahu Wa Laqad Aşţafaynāhu Fī Ad-Dunyā Wa 'Innahu Fī Al-'Ākhirati Lamina Aş-Şāliĥīna (Al-Baqarah: 130). |
| 130. Na nani atajitenga na mila ya Ibrahim isipo kuwa anayeitia nafsi yake katika upumbavu? Na kwa yakini Sisi tulimteuwa yeye katika dunia; na hakika yeye katika Akhera atakuwa miongoni mwa watu wema. |