Rabbanā Wa Ab`ath Fīhim Rasūlāan Minhum Yatlū `Alayhim 'Āyātika Wa Yu`allimuhum Al-Kitāba Wa Al-Ĥikmata Wa Yuzakkīhim 'Innaka 'Anta Al-`Azīzu Al-Ĥakīmu (Al-Baqarah: 129). |
| 129. Ewe Mola Mlezi wetu! Waletee Mtume anaye tokana na wao, awasomee Aya zako, na awafundishe Kitabu na hikima na awatakase. Hakika Wewe ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima. |