Wa 'Idh Abtalaá 'Ibrāhīma Rabbuhu Bikalimātin Fa'atammahunna Qāla 'Innī Jā`iluka Lilnnāsi 'Imāmāan Qāla Wa Min Dhurrīyatī Qāla Lā Yanālu `Ahdī Až-Žālimīna (Al-Baqarah: 124). |
| 124. Na Mola wake Mlezi alipo mjaribu Ibrahim kwa kumpa amri fulani, naye akazitimiza, akamwambia: Hakika Mimi nitakufanya uwe mwongozi wa watu. Akasema: Je, na katika vizazi vyangu pia? Akasema: Ahadi yangu haitawafikia wenye kudhulumu. |