Wa Lan Tarđaá `Anka Al-Yahūdu Wa Lā An-Naşāraá Ĥattaá Tattabi`a Millatahum Qul 'Inna Hudaá Allāhi Huwa Al-Hudaá Wa La'in Attaba`ta 'Ahwā'ahum Ba`da Al-Ladhī Jā'aka Mina Al-`Ilmi Mā Laka Mina Allāhi Min Wa Līyin Wa Lā Naşīrin (Al-Baqarah: 120). |
| 120. Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu. |