Wa Lillahi Al-Mashriqu Wa Al-Maghribu Fa'aynamā Tuwallū Fathamma Wajhu Allāhi 'Inna Allāha Wāsi`un `Alīmun (Al-Baqarah: 115). |
| 115. Na mashariki na magharibi ni za Mwenyezi Mungu. Basi kokote mnako elekea, huko Mwenyezi Mungu yupo. Hakika Mwenyezi Mungu ni mwenye wasaa na Mjuzi. |