Wa Qālat Al-Yahūdu Laysat An-Naşāraá `Alaá Shay'in Wa Qālat An-Naşāraá Laysat Al-Yahūdu `Alaá Shay'in Wa Hum Yatlūna Al-Kitāba Kadhālika Qāla Al-Ladhīna Lā Ya`lamūna Mithla Qawlihim Fa-Allāhu Yaĥkumu Baynahum Yawma Al-Qiyāmati Fīmā Kānū Fīhi Yakhtalifūna (Al-Baqarah: 113). |
| 113. Na Mayahudi husema: Wakristo hawana lao jambo. Na Wakristo husema: Mayahudi hawana lao jambo. Na ilhali wote wanasoma Kitabu hicho hicho (Biblia). Na kadhaalika walisema wale wasio jua kitu mfano wa kauli yao hii. Basi Mwenyezi Mungu atahukumu baina yao Siku ya Kiyama katika yale waliyo kuwa wakikhitilafiana. |