Wa Qālū Lan Yadkhula Al-Jannata 'Illā Man Kāna Hūdāan 'Aw Naşāraá Tilka 'Amānīyuhum Qul Hātū Burhānakum 'In Kuntum Şādiqīn (Al-Baqarah: 111). |
| 111. Na walisema: Hataingia Peponi ila aliyekuwa Yahudi au Mkristo. Hayo ni matamanio yao. Sema: Leteni ushahidi wenu kama nyinyi ni wasema kweli. |