Wa 'Aqīmū Aş-Şalāata Wa 'Ātū Az-Zakāata Wa Mā Tuqaddimū Li'nfusikum Min Khayrin Tajidūhu `Inda Allāhi 'Inna Allāha Bimā Ta`malūna Başīrun (Al-Baqarah: 110). |
| 110. Na shikeni Sala na toeni Zaka; na kheri mtakazo jitangulizia nafsi zenu mtazikuta kwa Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu anayaona mnayo yafanya. |