Wa Lammā Jā'ahum Kitābun Min `Indi Allāhi Muşaddiqun Limā Ma`ahum Wa Kānū Min Qablu Yastaftiĥūna `Alaá Al-Ladhīna Kafarū Falammā Jā'ahum Mā `Arafū Kafarū Bihi Fala`natu Allāhi `Alaá Al-Kāfirīna (Al-Baqarah: 89). |
| 89. Na kilipo wajia Kitabu kitokacho kwa Mwenyezi Mungu kinacho thibitisha waliyo nayo - na wao walikuwa wakitafutia ushindi kuwashinda makafiri - yalipo wajia yale waliyo kuwa wakiyajua waliyakanusha. Basi laana ya Mwenyezi Mungu juu ya wakanushao! |