'Ūlā'ika Al-Ladhīna Ashtaraw Al-Ĥayāata Ad-Dunyā Bil-'Ākhirati Falā Yukhaffafu `Anhum Al-`Adhābu Wa Lā Hum Yunşarūna (Al-Baqarah: 86). |
| 86. Hao ndio walio nunua uhai wa dunia kwa (uhai wa) Akhera; kwa hivyo hawatapunguziwa adhabu wala hawatanusuriwa. |