Wa `Allama 'Ādama Al-'Asmā'a Kullahā Thumma `Arađahum `Alaá Al-Malā'ikati Faqāla 'Anbi'ūnī Bi'asmā'i Hā'uulā' 'In Kuntum Şādiqīna (Al-Baqarah: 31). |
31. Na akamfundisha Adam majina ya vitu vyote, kisha akaviweka mbele ya Malaika, na akasema: Niambieni majina ya hivi ikiwa mnasema kweli. |