Fī Qulūbihim Marađun Fazādahum Allāhu Marađāan Wa Lahum `Adhābun 'Alīmun Bimā Kānū Yakdhibūna (Al-Baqarah: 10). |
10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo. |