Khatama Allāhu `Alaá Qulūbihim Wa `Alaá Sam`ihim Wa `Alaá 'Abşārihim Ghishāwatun Wa Lahum `Adhābun `Ažīmun (Al-Baqarah: 7). |
7. Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa. |